Tafuta gari

Tafuta gari

6.59 MB GeniusApps Technologies, LLC 简体中文
免费 交通
苹果 177
2018-09-23 13:30:01
Tafuta gari安卓版下载地址 Tafuta gari苹果版下载地址
扫码安装

Tafuta应用截图

  • Tafuta gari截图1
  • Tafuta gari截图2
  • Tafuta gari截图3
  • Tafuta gari截图4

Tafuta应用介绍

推荐理由:《Tafuta gari》是一款适用于苹果系统的交通类软件APP。Programu pekee ambayo inajua ambapo gari yako iko, hata kama haujui.《Tafuta gari》大小6.59 MB,在本站深受3754位玩家喜爱和下载。要找等,赶紧下载到手机吧。
Mara ngapi umejiuliza: “wapi nimeegesha gari langu?”. Ukitumia Tafuta gari hauta wahi kuuliza swali hili tena! Tafuta gari ina rekodi eneo la egesho lako MOJA KWA MOJA, wakati wowote ukiegesha gari lako. Ndiy, umevisoma haki, moja kwa moja! Hakuna Buttons (mabuto) kusukuma (kubonyeza) au nyongeza nyingine zaidi, kama ilivyo katika programu (APPs) za kawaida. Na kwa sababu haina kutegmea GPS, hauwezi hata taarifa inatumia betri ya simu yako!
Tafuta gari ina tumia state-of-the-art Artificial intelligence patent pending technolojia kuchunguza na kurekodi maegesho ya eneo lako wakati wowote uki egesha gari lako, bila hatua yoyote inahitajika kwa upande wako.Kitu pekee una faa kufanya ni kuzindua programu, na itakuwa bado ipo kwa nyuma (kwenye background) na ikifanya kazi yake.Kama umesahau ambapo uli egesha gari lako, na una jiuliza “gari langu likowapi?”- angaria Tafuta gari, na itakupa jibu la hili swali. Programu inakuezesha kuona matukio ya maegesho kwa BURE na inatoa $①.⑨⑨ katika programu ya wakati mmoja-inaboresha na kuonesha maegesho ya matukio yalio pita.
Unacho faa kufanya kufulahiaTafuta gari ni:
①. Weka iPhone->Mazingira au Settings->Ujumla au General->background App Refresh->ON
②. Weka iPhone-> Mazingira au settings->Faragha au Privecy-> Huduma za eneo->ON
③. Kuzindua programu! (Inafanya kazi kwenye background ikipunguzwa)
Hayo ni yote.Hakuna mambo yakutafuta gari lako tena. Hakuna kubonyeza mabuto, hakuna hassle.Tafuta gari inachunguza eneo la maegesho na ukamilishi moja kwa moja. Na haiwezi kutuma data kwa mtu yeyote, hivyo siri yako ni kamilifu.
Tafuta gari ni jibu rahisi na ni ufanisi wa swali ya tatizoìgari langu liko wapi?î tatizo lime tatuliwa jumla kwa jumla.
+Inafanya kazi kwenye iPhone ④, ④s, ⑤, ⑤s, ⑤c, ⑥, ⑥Plus
+Inafana kazi kwenye ios ⑦.① au mpya
+Works on iPhone ④, ④s, ⑤, ⑤s, ⑤c, ⑥, ⑥Plus
+Works on iOS ⑦.①sql_injectionnewer
Kanusho: Kuendelea kutumia GPS ikifanya kazi (kwene background) inaweza kupunguza betri ya simu.
Disclaimer: Continued use of GPS running in the background can dramatically decrease battery life.

相关推荐

玩家点评

条评论

热门下载

热点资讯

  • 最新话题

最新下载